iqna

IQNA

nchi za Kiarabu
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) – Washiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu nchini Algeria wamesisitiza ulazima wa kukomesha uvamizi wa utawala haramu wa Israel dhidi ya Palestina.
Habari ID: 3476028    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/03

Hali ya mambo Saudia
TEHRAN (IQNA)- Mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman hatahudhuria mkutano ujao wa kilele wa viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu utakaofanyika nchini Algeria kwa kufuata kile ambacho kimetajwa ni 'ushauri wa madaktari wa kuepuka kusafiri'. Hayo yameelezwa na ofisi ya rais wa Algeria.
Habari ID: 3475978    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/23

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa mamlaka hiyo imeamua kusamehe haki yake ya kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League.
Habari ID: 3473192    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/22

TEHRAN (IQNA) – Watu milioni 74 wanaoishi katika nchi za Kiarabu zenye uhaba wa maji wanakabliwa na hatari kubwa ya kuambukizwa ugonjwa wa COVID-19 au corona kutokana na kuwa hawana maji na sabuni ya kunawa nyumbani.
Habari ID: 3472667    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/15